Card za Michango na Mwaliko wa sherehe

Je ungependa Harusi yako iwe na vionyo vya kuvutia? jasmai inajihusisha na kutengeneza kadi za aina mbalimbali ili kufanikisha na kusherehesha shughuli yako ipasavyo. kampuni yetu ina watalamu wa kutosha wa kukutengeneza kadi za michango ya harusi, send off, kitchen party au michango mingine yeyote (fund rising) pamoja na kadi za mwaliko wa harusi, send off, na kitchen party kwa bei nafuuu.

Jionee baadhi ya kazi zetu ambazo zimekuwa vivutio/gumzo  sehem mbalimbali hapa nchini Tanzania

Contact us

Our Customer Support team is a great bunch of friendly, knowledgeable, outgoing pros, on alert around the clock. They love to help out, so call anytime you’ve got a question or an issue with your Design, Print or branding.

Request a free Quote... now

 

Web Designed and Maintained by

Jasmai Media Solutions

All Rights Reserved  ©2018

Facebook
Facebook
Follow us on Instagram
Google+
Google+
http://www.jasmai.com/card-za-michango-na-mwaliko-wa-sherehe">
WhatsApp chat